Maneno ya Linah baada ya kumpost mpenzi wake mpya Instagram - HABARI TANZANIA

Post Top Ad

Friday, 28 October 2016

demo-image

Maneno ya Linah baada ya kumpost mpenzi wake mpya Instagram

Responsive Ads Here
Ni msanii wa Bongo Fleva, Lina Sanga ambae October 28, 2016 amechukua headlines mitandaoni baada ya kumpost rasmi mpenzi wake mpya.
Staa huyo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram aliyaandika haya…>>Penzi si kama nyanya itokayo sokoni, nipe penzi 2764mwanana niliote ndotoni 1f6021f6021f602 i love u cheusi wangu, Mara moja moja, Raha jipe mwenyewe’
derewww

Post Bottom Ad