Post za Wema Sepetu kuhusu Aunty Ezekiel baada ya kuchuniana muda mrefu. - HABARI TANZANIA

Post Top Ad

Thursday, 27 October 2016

demo-image

Post za Wema Sepetu kuhusu Aunty Ezekiel baada ya kuchuniana muda mrefu.

Responsive Ads Here
Warembo Wema Sepetu na Aunt Ezekiel ambao kipindi cha nyuma walikua marafiki wa karibu sana na baadae wakapishana na urafiki wao ukaingia doa. Baada ya hapo tukawa hatuwaoni wawili hao pamoja kama ilivyozoeleka.
Leo 27October 2016 kupitia mtandao wake wa Instagram Wema ameamua kumpost Aunt Ezekiel akimtakia heri ya siku ya kuzaliwa kwa maneno mazuri ya upendo na amekiri kuwa amekuwa akiumiss urafiki wao na bado anampenda kama mwanzo na hakuna chochote kilichobadilika kwenye mapenzi yake kwake.
Hizi ni baadhi ya picha alizopost Wema ili kumtakia Aunty Ezekiel heri ya siku ya kuzaliwa
wema
weeema

aunty
wemaaa
wemazekiel
Wewe pia Unaweza kuniachia ujumbe kwa Aunt Ezekiel katika siku yake hii ya kuzaliwa mtu wangu

Post Bottom Ad