Mpekuzi habari za kuhaingaika,
Kwetu tumezaliwa wawili tu mapacha , Mimi na Dada yangu, baba yetu alikua mkali na mkoloni sana hatukuruhusiwa kutoka nje kabisa labda shule tu na tulienda na Gari la nyumbani Tulikua tukiishi mkoani na ilikua ni mwishoni mwa miaka ya tisini Tukiwa form six, nadhan tulikua tumefunga shule tukiwa home, Dada yangu aliletewa mkanda Wa kikubwa na Rafiki yake baada ya Rafiki kuondoka tukawa tunauangalia sielewi ni nini kilitupata tukajikuta tumezini, mm kwangu ilikua ni Mara ya kwanza ila nadhan mwenzangu alikua tayari keshafanya huko nyuma Ikawa kila siku tunafanya wazazi wakiondoka.
Kuja kustuka haoni siku zake akamwambia mama naye akamwambia baba Sijui niwaeleza lugha gani muweze kuelewa kilichotokea Ilikua ni mtiti akaambiwa aeleze ni nani aliempa mimba akawa anasingizia wanafunzi wenzie shuleni, wakifika shule anababaika anashindwa kutaja basi akafukuzwa shule hata mtihani Wa mwisho hakufanya Wakati hilo halijaisha biashara za Mzee zikaanza kuyumba vibaya vibaya na alikua na deni kubwa sana benki wakaja kuuza nyumba tunayokaa bado haikutosha Nyumba tuliyohamia ikapigwa mnada pia Mzee akapata stroke, tukaanza kuhangaika nae kila hospital, Mtihani Wa mwisho ulipofika sikuweza kufanya kitu nilikua naangalia tu makaratasi maana tulitoka maisha ya juu ghafla tukaporomoka hadi chini ndani ya miezi 9-12.SOMA ZAIDI