Zimetajwa nchi zenye Vyuo Vikuu vingi na bora zaidi duniani.. Afrika ni ya Mwisho - HABARI TANZANIA

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, 25 October 2016

Zimetajwa nchi zenye Vyuo Vikuu vingi na bora zaidi duniani.. Afrika ni ya Mwisho

Mtu wangu kila siku mataifa makubwa na madogo duniani hushindana kujenga misingi imara ya elimu bora. Jambo hilo limefanya ushindani kuwa mkubwa zaidi kwenye elimu za Vyuo vikuu. October 25, 2016 zimetoka ripoti za Vyuo Vikuu bora zaidi duniani na Chuo kikuu cha Oxford kimefanikiwa kushika nafasi ya kwanza kwenye list hiyo.
Kwa mujibu wa ripoti ya taasisi ya Times Higher Education Rankings hii inakuwa mara ya kwanza kwa Chuo Kikuu che nje ya Marekani kushika nafasi ya kwanza kupitia list hiyo.

https://www.ucl.ac.uk/human-evolution/news/oxford-university-view
Majengo ya Chuo Kikuu cha Oxford
http://i1.wp.com/www.ox.ac.uk/sites/files/oxford/styles/ow_large_feature/public/field/field_image_main/b_app.jpg?resize=620%2C213List imeonesha Vyuo Vikuu 980, vilivyowakilisha kwa asilimia tano tu 5% ya taasisi bora za elimu ya Vyuo Vikuu. Zimetajwa pia nchi 79 zilizoingiza vyuo bora.

SOMA ZAIDI

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here