Kwa wengi haikuwa rahisi
kuamini maneno ya Barakah The Prince kuwa anamalizia kujenga mjengo wake
aliouonesha kwenye Instagram.
Ni kwa sababu ujenzi si suala la lelemama na linaloweza kutokea kwa usiku mmoja. Pia wengi walitia shaka uwezo wa msanii huyo katika kipindi hiki kuweza kujenga nyumba kama hiyo. Na sasa huenda mashaka hayo yakawa yamepata uthibitisho wa uhakika.

Cha kufurahisha ni kuwa
Barakah na mpenzi wake Naj Dattan walihojiwa na EATV na wote kuthibitisha kuwa
ni nyumba ya Barakah!
“Namshukuru sana mke wangu Naj kwa sababu ana mchango mkubwa sana hadi hapa nilipofika pia kwa sasa siwezi kutaja fedha ambayo nimeitumia hapa kwa sababu ni hela nyingi sana hadi sasa na kama unavyoona nyumba bado haijaisha kwa hiyo nikimaliza kila kitu nitasema ni shilingi ngapi nimetumia,” Barakah The Prince alikiambia kipindi cha E-Newz cha EATV.
Swali ni kama maneno ya Alawi ni ya kweli, kwanini Barakah anadanganya?

Alawi Junior (katikati)
akiwa na shemeji yake, Naj (kushoto) mwenye uhusiano na Barakah
Ni kutoka kwa Alawi Junior – msanii wa Bongo Flava aliyemuoa na kuzaa na dada yake Naj, Lady Naa. Alawi amepost Instagram video ya nyumba ambayo Barakah alidai ni ya kwake na kuandika: Done🏠👍Hongera sana Mama mkwe #zaharaDattan nyumba yako kali sana.”