Muuza sura kwenye video za Kibongo, Lulu Abass ‘Lulu Diva’ (pichani juu) na mwenzake Amber Lulu hawana bifu lolote isipokuwa kuna watu wana mpango wa kuwagom-banisha.
Akichonga na Risasi Vibes, Lulu Diva alifunguka kuwa awali aliposikia kuwa Amber alimpaka matope kwenye ‘interview’ aliyofanya na redio fulani Bongo, alipaniki na kumtafuta ili amueleze kulikoni, lakini Amber alimwambia hakuna kitu kama hicho na kumtaka kuchunguza mwenyewe.
“Nilichunguza na kukuta kumbe si kweli, niligundua ni watu wasiopenda ushoga wetu ndiyo walikuwa wanajaribu kutukosanisha na si vinginevyo,” alisema Lulu Diva.
Post Top Ad
Wednesday, 19 October 2016

Lulu Diva, Amber Lulu Hakuna Bifu
Tags
# shelawadu
Share This
About FUNGUA MACHO(OPEN YOUR EYES)
Newer Article
U HEARD: Alichokisema Linah kuhusu mpenzi wake mpya kumvisha pete mwanamke mwingine
Older Article
Taarifa ya Uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kutenguliwa Inayosambaa Mitandaoni...Ikulu Yatoa Tamko
Wema Sepetu Ataja Sababu Zilizomfanya Asiende Kumuona Tundu Lissu
FUNGUA MACHO(OPEN YOUR EYES)Oct 20, 2017Mdogo wa Steven Kanumba Atoa Ushahidi Mahakamani Jinsi Kanumba Alivyofariki
FUNGUA MACHO(OPEN YOUR EYES)Oct 20, 2017Emmanuel Mbasha Apata Mchumba Mpya Baada ya Kutemana na Flora...Kumtambulisha leo
FUNGUA MACHO(OPEN YOUR EYES)Oct 13, 2017
Labels:
shelawadu